UTEUZI: SOPHIA MJEMA AWA MSHAURI WA RAIS, MASUALA YA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum
Kabla ya uteuzi, Sophia alikuwa Katibu wa #NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM)
Post a Comment