banner

Friday, March 1, 2024

PICHA: KIDUNDA ALIVYOPOKELEWA KIFALME JIJI LA DAR ES SALAAM

PICHA: KIDUNDA ALIVYOPOKELEWA KIFALME JIJI LA DAR ES SALAAM











Katika kuelekea mchezo wa Ndondi kati ya Mtanzania na Mtumishi wa JWTZ Sajinitati Selemani Kidunda (JINI MAKATA) na Bondia Kutoka nchini Afrika ya Kusini Asemahle Wellem.



Ambapo wawili hao wanawania mkanda wa WBF  leo katika viwanja vya  Warehouse Masaki  kuanzia saa 12:30 jioni.



Kidunda atamba kumaliza pambano mapema dhidi ya mpinzani wake na kuwaomba WATANZANIA waje kwa wingi ili wakajionee Burudani itakayo andika Historia.



Halkadhalika kwa mpinzani wake Kidunda, Bondia Wellem amehaidi kufanya vyema katika pambano hilo.



Siku ya jana Kidunda alipata mapokezi Makubwa kwa wakazi wa Dar es Salaam na vitongoji vyake waliomsindikiza katika zoezi la upimaji uzito, halikadhalika makamanda wenzake.



















Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search