banner

Thursday, October 26, 2023

OMBI LA DKT MJEMA KWA MAKONDA

OMBI LA DKT MJEMA KWA MAKONDA

 “Leo ndugu yangu Paul Makonda, na mimi nitakukabidhi kiti hiki [cha Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM] ili uingie katika idara hii ya itikadi, uenezi na mafunzo uweze kuendeleza chama hiki na uendelee kuhakikisha kwamba chama hiki kinakwenda kushinda.” – Sophia Mjema, Mshauri wa Rais, Masuala ya Wanawake na Makundi Maalumu


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search