banner

Friday, November 3, 2023

KUMBILAMOTO AIPONGEZA TPPL KWA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

KUMBILAMOTO AIPONGEZA TPPL KWA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

 Mstahiki Meya wa jiji  la Dar es Salaam, Mh Omary Kumbilamoto amefanya ziara katika Karakana yakutengeneza Madawati iliyopo Liwiti ,Madawati haya 25 yamedhaminiwa na Mdau Mkubwa  wa Maendeleo Kampuni ya TPPL kwa ajiri ya Shule ya Msingi Kombo iliyopo Vingunguti.



Katika Maelezo yake Mstahiki  Meya amempongeza  fundi kwa kazi nzuri aliyoifanya na Kumshukuru Mkurugenzi wa Kampuni ya TPPL kwa moyo  wake wa upendo wa kuunga mkono Juhudi za Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuboresha masuala ya elimu  nchini .





#mo7newsupdates 

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search