banner

Friday, November 3, 2023

MULUGO: RAIS AVUNJE BARAZA LA MAWAZIRI

MULUGO: RAIS AVUNJE BARAZA LA MAWAZIRI

 Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuvunja baraza la mawaziri kwa kile anachodai kuwa wameshindwa kufanya kazi kwa weledi na taifa limefika katika hali mbaya.



"Nchi inakufa sasa twende wapi, na nyie mnaotakiwa kuwawajibisha watu hamtaki kuwawajibisha, unawaona tu mawaziri wawili unamwona Mchengerwa anachukua hatua sasa wengine wanafanya nini, yani hela zinaliwa hivi hivi halafu tunaenda kukamata wezi wa kuku na ng'ombe jamani," amesema Mulugo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search