banner

Saturday, November 4, 2023

RIPOTI YA CAG: MCHENGERWA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI

RIPOTI YA CAG: MCHENGERWA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI

 



Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Mohamed Mchengerwa, amemuagiza Katibu Mkuu TAMISEMI kumsimamisha mara moja Mkurugenzi wa Igunga, Athuman Fransis Msabila kufuatia Ripoti ya CAG kumtaja katika upotevu wa fedha.


 Aidha Waziri Mchengerwa amewapa onyo watu wote wanaohusika moja kwa moja na wizara yake kuwa wakae kwa adabu kwani lolote linaweza kutokea endapo tu wakikosa nidhamu.


#mo7newsupdates 

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search