banner

Saturday, November 4, 2023

GETERE: NIKIPEWA UWAZIRI SIKUTANO NAFUKUZWA

GETERE: NIKIPEWA UWAZIRI SIKUTANO NAFUKUZWA

 Mbunge wa Bunda Boniphace Getere amesimama Bungeni leo na kuonesha kukerwa na madudu mengi yaliyojitokeza kwenye ripoti ya CAG hivyo imempelekea kusema yeye akibahatika kupata Uwaziri baada ya siku tano atafukuzwa kwakuwa kila Mtu atayemkuta ameharibu kwenye ziara zake atamuweka ndani.



Mbunge Getere amesema hayo leo November 4 2023 Bungeni, Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa Wabunge kuchangia taarifa za Kamati tatu za Bunge kuhusu ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search