banner

Friday, November 3, 2023

SERIKALI YAZUIA MALIPO HAYA KWA RAIS MSTAAFU

SERIKALI YAZUIA MALIPO HAYA KWA RAIS MSTAAFU

 Serikali imeondoa malipo ya Fedha na stahiki nyingine alizokuwa akipata Rais Mstaafu wa Taifa hilo, EdgarLungu baada ya uamuzi wake wa kurejea kufanya Siasa wakati Katiba ya Nchi inataka Rais Mstaafu kutoshiriki katika Siasa za kuwania Madaraka ili anufaike na marupurupu


Lungu alipoteza Urais kwa HakaindeHichilema Mwaka 2021, alipotangaza kurejea katika Siasa alisema anarejea kupigania na kutetea Demokrasia ya Taifa hilo na kukinusuru Chama chake cha zamani cha #PatrioticFront

Stahiki hizo ni Walinzi watatu, Pasipoti ya Kibalozi, Magari 3 ya Serikali, Nyumba, Bima ya Afya na gharama za mazishi yake.



Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search