banner

Saturday, November 4, 2023

MAJALA: WABUNGE WASILIPWE POSHO NA MISHAHARA

MAJALA: WABUNGE WASILIPWE POSHO NA MISHAHARA

 


Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala amependekeza kwa Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kuwa wabunge wasilipwe posho zao za vikao na mishahara ya mwezi huu ili waonje uchungu wanaokutana nao Watanzania ambao hawajalipwa mafao yao ya kustaafu.


Ameyasema hayo leo Jumamosi Novemba 4, 2023 wakati wakichangia taarifa za kamati za Bunge za kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka ulioishia Juni 30, 2022.


#mo7newsupdates 

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search